Tuesday, August 2, 2011

Mafanikio yangu mwa 2011

Ilikuwa ngumu kufikia kule ninapotaka kufika ,lakini jitihada yangu pamoja na wazazi wangu   kwa ukarimu wao waliouonesha kwangu pale nilipokuwa nasoma  masoma yangu ya web na graphic, sasa nashukuru wale wote wlionifanikisha kufikia huko walimu wangu wote wa chuo cha zanzibits na zanzicode ,kwa kupata kile ambacho nilichokuwa  nataka, Mnamo  July 7 2011 nilifanya mtihani   na kubahatika kupata cheti  cha W3school   http://www.refsnesdata.no/certification/w3certified.asp?id=2843037

No comments:

WELCOME TO SEEISSAI BLOG