Raisi wa serekali ya mapinduzi znz akiwasili eneo la msikitini
Jana alasiri ilikuwa safari ya mwisho kwa Bi kidude
baada ya kumaliza
swala na kumpumzisha
kwenye makazi yake ya milele......maelfu ya wananchi wakubwa
kwa watoto walifurika sana
kwenye mazishi ya kikongwe huyu alietutoka ghafla 17april majira
ya saa 7 mchana kwa saa za afrika
ya mashariki.....Viongozi wengi wa nchini walijumuika na familia
katika maziko ya Bi kidude pamoja hata na
wasanii pia walikuwepo kuonesha mchango wao.....Zifuatazo ni picha wakati maiti ikiswaliwa Mskitini na safari ya kuelekea makaburini kwa maziko

Rais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania Dk Jakaya na
Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ndugu
Ali Mohamed Shein wakiwasili makaburini kwa ajili ya maziko

No comments:
Post a Comment