Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange, akikata
utepe kuashiria kuufunguauwanja mpya wa michezo ya majeshi Zanzibar
yanayotarajiwa kufunguliwa kesho na Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, katika uwanja wa Amaan, jumla
ya nchi tano zinashiriki michezo hiyo Tanzania, Kenya, Uganda Ruwanda
na Burundi.kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Mhe.Abdallah Mwinyi
Khamis na kulia Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Shariff Shekh
Othman.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Davis Mwamunyange, akiwa na Mkuu wa
Brigedi ya Nyuki Zanzibar Shariff Shekh Othman kulia na kushoto Mkuu wa
Wilaya ya Mjini wakimshindikiza Mkuu wa Majeshi kukagua timu baada ya
ufunguzi wa uwanja huo wa michezo ya Majeshi Migombani Zanzibar.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania
Jenerali Davis Mwamungyange, akiikagua timu ya Vikosi vya SMZ, baada ya
Kuuzindua Uwanja Mpya wa Michezo ya Majeshi, yanayotarajiwa kufunguliwa
kesho uwanja wa Amaan na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali
Mohamed Shein,
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamungyange,
akiikagua timu ya JWTZ, baada ya Kuuzindua Uwanja Mpya wa Michezo ya
Majeshi, yanayotarajiwa kufunguliwa kesho uwanja wa Amaan na Rais wa
Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein,
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mamwunyange,
akifuatilia mchezo wa kirafii kati ya JWTZ na Timu ya Vikosi vya SMZ,
timu hizo zinashiriki michezo hiyo inayotarajiwa kufunguliwa kesho
uwanja wa Amaan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Ali Mohamed Shein.
No comments:
Post a Comment